MWANADIASPORA KHAMSIN IDD ALKHAG ALONGA NA VIJIMAMBO
MwanaDiaspora Khamsin Iddi Alkhag Sehemu ya I azungumzia historia yake kwa ufupi pamoja na mambo mengine ya maisha yake na Mabaharia waliwezaje ku-stow away wakati kulikua na ulinzi wa kumwaga Bandarini. MSIKILIZE
1 comment:
Anonymous
said...
nimefurahi kupita kiasi kusione hii clip nashkuru sana tena sana kwa mwanadiaspora khamsin idd alkhag na kwako dj luke kuweka hii clips na aliyoyasema ni yakweli tupu kwamba kila mara tuonana wasomi tu wakihojiwa. imenikumbusha mbali sana ninalikuwa nina brother wangu mmoja alikuwa baharia mungu amlaze mahali pema peponi na alikuwa akitupa story za ubahari na alikuwa hajasoma hivyo lakin alikuwa akizungumza lunga zaidi ya 10, kitaliano, kigiriki,kireno,kituruki,kihindi,kifaransa, kiarabu,kiyahudi, etc na alisaidia familiya yetu sana na daima tunamkumbuka mkobozi wetu daima,na nikweli waliokuwa mabaharia wa zamani walikuwa na malengo
nimefurahi sana tena sana kusikiliza hii clips and iam looking forward for the second part daima May God bless you amin
1 comment:
nimefurahi kupita kiasi kusione hii clip nashkuru sana tena sana kwa mwanadiaspora khamsin idd alkhag na kwako dj luke kuweka hii clips na aliyoyasema ni yakweli tupu kwamba kila mara tuonana wasomi tu wakihojiwa.
imenikumbusha mbali sana ninalikuwa nina brother wangu mmoja alikuwa baharia mungu amlaze mahali pema peponi na alikuwa akitupa story za ubahari na alikuwa hajasoma hivyo lakin alikuwa akizungumza lunga zaidi ya 10, kitaliano, kigiriki,kireno,kituruki,kihindi,kifaransa,
kiarabu,kiyahudi, etc
na alisaidia familiya yetu sana na daima tunamkumbuka mkobozi wetu daima,na nikweli waliokuwa mabaharia wa zamani walikuwa na malengo
nimefurahi sana tena sana kusikiliza hii clips and iam looking forward for the second part
daima May God bless you amin
Post a Comment