ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 25, 2012

STARS UNITED KUCHEZA NA KENYA, WASHINGTON, DC

Stars United
Kutakua na mechi kati ya Stars United na Kenya wiki ya July 4th Weekend, Bagasa Libe anaomba wachezaji wote watakaowezafika DC wamjulishe mapema ili afanywe mipango ya malazi na chakula  na Hii mechi itakua ni moja ya mechi za kujipima nguvu kwa maandalizi ya Houston wakati wa Thanksgiving asante. Bagasa.
Timu ya Kenya

No comments: