Juu na chini ni Waziri Mpya wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar, Rashid Seif kulia akikabidhiwa Ofisi yake na Waziri wa Wizara hiyo aliyejiuzulu karibuni Hamad Masoud Hamad kufuatia ajali ya kuzama kwa MV.Skagit.
(Picha na Nafisa Madai-Maelezo Zanzibar)
1 comment:
pole ssana hamad unampa mkono mwenzako laki bado limekujaa kutapika unashindwa uchungu umekushika kibao unachia ngazi huku bado unatamani pole sana babba ndo ukubwa huo kila kitu kina mwisho wake CHEO NI DHAMANI
Post a Comment