ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, July 26, 2012

SHUKRANI

Florah Anna Mnkande na familia yake yote wanatoa shukrani zao za dhati kwa ndugu, majirani na marafiki wote kwa upendo wenu usio kifani, kwa misaada yenu ya HALI na MALI kufuatia ajali, mauguzi, msiba na mazishi ya mpendwa wetu Jeffrie Bernard Jones. 

Mmiminiko wa salamu toka pande zote za dunia, michango, rambirambi, na umati wa watu uliojitokeza katika kipindi hiki umetufariji sana.  Kupitia kwenu tumeuona mkono wa MUNGU.

Hakuna maneno yoyote yale yatakayoweza kukidhi uzito wa shukrani zetu kwenu. Mwenyezi MUNGU pekee ndiye mwenye uwezo wa kuwaenzi maradufu na zaidi.  Ombwe (vacuum) alilotuachia Jeffrie ni kubwa mno lakini tunaamini, kwa msaada wenu, tutaendelea kufarijika.

Tunazidi kuomba kuwa salamu hizi ziwafikie kila mmoja wenu binafsi maana si rahisi kumtaja kila mmoja wenu hapa.  Asanteni.  Mungu awabariki sana – AMINA.

Tunatamatisha kwa neno la MUNGU kutoka   1-Wathesalonike  1:2-3.

A NOTE OF GRATITUDE
Florah Anna Mnkande and family would like to express their sincere gratitude to relatives, neighbors, friends, and the entire community for all the help (material and otherwise) following the accident, mourning, and funeral of our beloved Jeffrie Bernard Jones. 

The outpouring of support from all of you comforted us greatly.  Through you we have experienced and are touched by GOD – Thank you.

No words can express the deep appreciation and gratitude to you.  GOD the almighty alone is able to repay you.  The vacuum left behind by Jeffrie is enormous.  It is only with your help that we will endure. 

We further pray that this message will reach all of you in lieu of individual notes of thanks.    May the almighty GOD bless you all – AMEN.

We conclude with the word of GOD from  1-Thessalonians  1:2-3. 

No comments: