ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, July 26, 2012

MAENDELEO YA CLARISE NIYOKURU

Mtanzania mwenzetu aliyelazwa Washington Hospital chumba # 2H22 hali yake bado sio nzuri bado yupo ICU hawezi kuongea wala hatambui mtu yeyote amelala tu naomba mzidi kumuombea apate nafuu.


Tumeongea na Allis Kibwere ambae pale Hospitali anajulikana kama binamu wa mgonjwa na amesema ameisha wajulisha ndugu wa mgojwa wakiwemo watoto wake wawili waliopo Tanzania pia alisema mgojwa wetu amepatwa na pneumonia (nimonia), ambayo huchukua wiki moja mpaka tatu kwaa mgojwa wa aina hii kuweza kupata nafuu.


Kwa maelezo zaidi wasiliana na Ndugu Kibwere 202 306 5252 au unaweza kupiga Washington Hospital 202 877 7753 omba kuzungumuza na 2H au 202 877 5582 kwa Sandra Walsh ambae ni Assistant Nursing Director. Asante.

No comments: