nilidhani jamaa atatuwakilisha kifashisti ila naona imekuwa bahati mbaya kwa kifupi tunaweza kusema aliyeweza kututangaza vizuri ni steven kanumba tu.RIP bro
jamaa naona anazidi kuongea kivivu sijui ni ukubwa umemzidi au?? halafu ndio nini kujishika pua na mdomo kutwa? etiquette?
Huyu kaka kasahau lugha ya taifa au ndio fashen kuchanganya kizungu na kiswahili?
Post a Comment
3 comments:
nilidhani jamaa atatuwakilisha kifashisti ila naona imekuwa bahati mbaya kwa kifupi tunaweza kusema aliyeweza kututangaza vizuri ni steven kanumba tu.
RIP bro