ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, July 26, 2012

TAARIFA KWA WATANZANIA WOTE: NY, MA, CT, NJ

TAARIFA KWA WATANZANIA WOTE: NY, MA, CT, NJ
OFFICE YA TAWI LA CCM NEW YORK NA TRI STATE INAWATAARIFU WANACHAMA WAKE KUJIANDIKISHA ILI KUPATA KADI ZA WANACHAMA. NA KWA WALE AMBAO BADO HAWAJA BAHATIKA KUJIUNGA NA CCM, BASI HUU NI WAKATI MUNASABA KWA WAO KUJIUNGA NA CCM. CHAMA AMBACHO HUPIGANIA HAKI NA SHERIA KWA WOTE TANGU ENZI HIZO.
WAKATI HUU AMBAO NI WAKATI WA” SAUTI NYINGI, FIKRA NYINGI LENGO MOJA” UTAWALA BORA KWA MATAKWA YA WATANZANIA

KWA TAARIFA ZAIDI, WASILIANA NA:
SHABAN MSEBA, KATIBU SIMU# 347-7128539
PETER BARNABAS, KATI MWENEZI SIMU# 347-455-3577
M.MAFTAH, MWENYEKITI SIMU# 646-500-4637

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI


5 comments:

Anonymous said...

JAMAANI TUNA POTEZA MUELEKEO WA WANA DIASPORA NA HIVI VYAMA HUKU INASIKITISHA KUONA KILA MMOJA ANATAFUTA UMAARUFU WA KUJITANGAZA WANA DIASPORA TUACHANE NA VYAMA VYA SIASA MWENYE KUTAKA HARAKATI ZA CHAMA ARUDI NYUMBANI KUHAMASISHA SIO TUNA ANZA MTAFARUKU WA SIJUI CCM CHADEMA HUU NI USANI MTUPU SHIME TU AMKE KAMA MUAMSHO INA BAINIKA SASA YULE NAPE NAUYE ALIOKUJA MAREKANI AMELETA CHOKO CHOKO SIKILIZENI SAUTI YA UJERUMANI WAZIRI WA ZANZIBAR MANSOUR ANAVYO TOA TUHUMA ZA KUHUSU NAPE

Anonymous said...

KIDUMUUUUUU! CCM OYEEEEEEEEEE! TUTAKUJA KWA WINGI, ASANTENI

Anonymous said...

Hautaki siasa Wewe usijiunge nape anatuhusu kitu gani ccm oyeeeeeeeeeee ccm ndiyo chama pekee

Anonymous said...

VIJIMAMBO, enbu tuondelee upupu huu, wacha tupige box tu.

Fidelis K said...

badala ya kujadili na kufikiria kwa kina namna nchi yetu inavyo didimia nakutofanikiwa kimaendeleo kwasababu ya wizi na ufisadi wa chama tawala watu wameamua kuwa matahira na kutafuta njia ya kujinufaisha na hela ya walipa kodi ambayo chama tawala kimekuwa kikimwaga nakuitumia kupata wanachama...tumekosa mwelekeo ni aibu