TAARIFA KWA WATANZANIA WOTE: NY, MA, CT, NJ
OFFICE YA TAWI LA CCM NEW YORK
NA TRI STATE INAWATAARIFU WANACHAMA WAKE KUJIANDIKISHA ILI KUPATA KADI ZA
WANACHAMA. NA KWA WALE AMBAO BADO HAWAJA BAHATIKA KUJIUNGA NA CCM, BASI HUU NI
WAKATI MUNASABA KWA WAO KUJIUNGA NA CCM. CHAMA AMBACHO HUPIGANIA HAKI NA SHERIA
KWA WOTE TANGU ENZI HIZO.
WAKATI HUU AMBAO NI WAKATI WA”
SAUTI NYINGI, FIKRA NYINGI LENGO MOJA” UTAWALA BORA KWA MATAKWA YA
WATANZANIA
KWA TAARIFA ZAIDI, WASILIANA
NA:
SHABAN MSEBA, KATIBU SIMU# 347-7128539
PETER BARNABAS, KATI MWENEZI
SIMU# 347-455-3577
M.MAFTAH, MWENYEKITI SIMU# 646-500-4637
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
5 comments:
JAMAANI TUNA POTEZA MUELEKEO WA WANA DIASPORA NA HIVI VYAMA HUKU INASIKITISHA KUONA KILA MMOJA ANATAFUTA UMAARUFU WA KUJITANGAZA WANA DIASPORA TUACHANE NA VYAMA VYA SIASA MWENYE KUTAKA HARAKATI ZA CHAMA ARUDI NYUMBANI KUHAMASISHA SIO TUNA ANZA MTAFARUKU WA SIJUI CCM CHADEMA HUU NI USANI MTUPU SHIME TU AMKE KAMA MUAMSHO INA BAINIKA SASA YULE NAPE NAUYE ALIOKUJA MAREKANI AMELETA CHOKO CHOKO SIKILIZENI SAUTI YA UJERUMANI WAZIRI WA ZANZIBAR MANSOUR ANAVYO TOA TUHUMA ZA KUHUSU NAPE
KIDUMUUUUUU! CCM OYEEEEEEEEEE! TUTAKUJA KWA WINGI, ASANTENI
Hautaki siasa Wewe usijiunge nape anatuhusu kitu gani ccm oyeeeeeeeeeee ccm ndiyo chama pekee
VIJIMAMBO, enbu tuondelee upupu huu, wacha tupige box tu.
badala ya kujadili na kufikiria kwa kina namna nchi yetu inavyo didimia nakutofanikiwa kimaendeleo kwasababu ya wizi na ufisadi wa chama tawala watu wameamua kuwa matahira na kutafuta njia ya kujinufaisha na hela ya walipa kodi ambayo chama tawala kimekuwa kikimwaga nakuitumia kupata wanachama...tumekosa mwelekeo ni aibu
Post a Comment