Kwa mara nyingine tena
Chama Cha Mapinduzi DMV kinaungana na ndugu na jamaa wa waislamu popote duniani
kwa kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Chama Cha Mapinduzi,
DMV inawatakia furaha tele katika sikukuu ya Eid na Tunapenda kuwapa mkono wa
EID Mubarak -2012
Amani, upendo na
Ushirikiano
EID MUBARAK
Imetolewa na ofisi ya
Mwenyekiti-DMV
WASHINGTON DC
No comments:
Post a Comment