ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 22, 2012

MKUTANO WA CHADEMA READING WASOMI WAJIPANGA KUMWAGA CHECHE!



TAWI LA UK

KWA WALE WALIO LONDON WASILIANA NA CHRIS 

LUKOSI KUHUSU TARATIBU ZA USAFIRI

MAGARI KUONDOKA SAA NNE ASUBUHI
Mkutano utafanyika siku ya Tarehe 26/08/2012 kuanzia saa saba mchana mpaka saa kumi na mbili jioni, siku ya Bank Holiday. .Risc Reading International Solidarity Centre, 35-39 London Street, Reading, RG1 4PS .

WASOMI WENGI NA WANAHARAKATI MBALI MBALI WATAONGEA SIKU HIYO
 Watanzania wote na wadau mbali mbali mnakaribishwa 

SISI SOTE NI NDUGU, TATIZO NI CCM

 ni wakati wa kusimama na kusema tumechoka
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA HAWA WAFUATAO
MWENYEKITI: Chris Lukosi 07903828119

Au tutumie email kupitia chademauk@gmail.com



Peooooople's Power

No comments: