Financial
statement inayoonyesha kiwango anachodaiwa wakati fedha hizo
hazikulipwa na mwanafunzi huyu bado anadaiwa na chuo na kimeshikilia
vyeti vyake

Barua
ambayo chuo kiliandika kuonyesha kuwa fedha zilirudishwa bodi baada
ya kuwa hazikusainiwa na wanafunzi.na kuwa fedha ya mwaka wa pili
haikulipwa kabisa na bodi ya mikopo

Baada
ya kufuatilia suala lake,alilifikisha hadi wizara ya elimu,na wizara
ikawaandikia bodi kutaka kujua ukweli wa madai haya,Barua hii
haikujibiwa

Baada ya bodi kutojibu barua ya kwanza,wizara iliandika tena kuulizia suala hilo,Hadi sasa bado bodi haijajibu kitu.
Bodi
ya mikopo,inalalamikiwa kutafuna fedha za mwanafunzi MWESIGA
CHRISTIAN MICHAEL aliyehititimu DUCE mwaka 2011.Bodi inaonekana
hawakulipa ada yake ya mwaka wa kwanza na wa pili,bali walilipa ya
mwaka wa tatu pekee.

Alipokuwa
akifuatilia akiwa bado chuoni alikuwa akiambiwa hakuna tatizo na ada
zote zitalipwa.Bali amejikuta akidaiwa na chuo ada ya miaka 2 zaidi ya
milion 2 na chuo kimezuia vyeti vyake.

ya mikopo ambayo aliingia nayo mkataba sasa inasema haimtambui na
bajeti yake haipo tena.Hata hivyo uchunguzi wetu umegundua kuwa kuna
udanganyifu mkubwa kwa upande wa bodi kwani financial statement
waliyotoa inaonyesha amelipiwa ada.

Upekuzi
wa Mtandao huu megundua kuwa bodi,ama watumishi wake walighushi kwa
makusudi na kubadili majina ya mnufaika na kulipa mtu hewa kwa miaka
2,ila wakalipa mtu stahiki mwaka wa tatu pekee.

Ajabu
hata hivyo,Mwesiga Christian Michael,hakunufaika na fedha hizo,bado
anadaiwa na chuo na vyeti vyake vimezuiwa.Kinachokera zaidi ni kuwa
inaonekana anadaiwa zaidi ya milioni 7 wakati hazikulipwa fedha hizo.

Ni wazi kuna udanganyifu na au wizi kwenye bodi ya mikopo.
Mtandao huu umeshindwa kujua ni vipi bodi imekaidi kujibu barua za
wizara mara mbili juu ya madai ya Mwesiga.Tunadhani wenye kuhusika
watafutwe na mamlaka husika ili wawajibike kwa wizi walioutenda.Hadi
sasa Mwesiga hajapata ajira kwa sababu hana vyeti vya shahada.
SourceSulemani Magoma Blog
1 comment:
miyayusho tu hii mafisadi wanachota na kula na kuvimbisha vitambi vyoa mali za umaa na bugha za wanyama na ardhi na bahari yetu hawafanywi chochote leo hii mwanafunzi anadiwa pesa hizo eti anawekwa hadharani mnazani tuna wazimu,kila aliye na macho achukuwe chake mapema ukipata mwanya hakuna nini wala nini na msiwalipe na kaani kimya wana bodi mafisadi wote
Post a Comment