ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 22, 2012

BONDIA THOMASI MASHALI ACHUKUA SEHEMU YA FEDHA YAKE KWA AJILI YA MAANDALIZI YA MPAMBANO WAKE

RAIS wa -TPBO YASSIN ABDALLAH -USTAADH 'kushoto' akimkabizi bondia Thomasi Mashali sehemu ya fedha kwa ajili ya malipo ya kujiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa Afrika Mashariki dhini ya Med Sebyala kutoka Uganda mpambano utakaofanyika October 14
                          
RAIS wa -TPBO YASSIN ABDALLAH -USTAADH 'kushoto'  akipata picha ya pamoja na bondia Thomasi baada ya kumkabidhi malipo ya kujiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa Afrika Mashariki dhini ya Med Sebyala kutoka Uganda mpambano utakaofanyika October 14 2012 

Bondia Thomasi Mashali akitia saini ya kuchukua kiasi cha pesa kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wake wa kugombania ubingwa wa Afrika Mashariki October 14

Thomasi Mashali akiwa na mkanda wake wa Ubingwa wa Taifa unaotambulika na TPBO

Thomasi Mashali akiwa katika pozi
picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments: