VIDEO YA MAKAMUZI YA HAFSA KAZINJA MOTO LONGE
Hafsa Kazinja mwanamuziki wa kizazi kipya al maarufu malikia wa Zouk akiwa jukwaani alipofanya makamuzi kwenye kiota kipya cha Moto Lounge kilichopo Laurel ubavuni mwa Rio Lounge Jumamosi ijayo atakua Boston, Massachusetts
Juu ma chini Mashabiki wa Hafsa Kazinje wakimwaga kitita kwa jinsi walivyokunwa na umahili wake wakushambulia jukwaa.
Mashabiki wakiangalia makamuzi ya Hafsa Kazinja aliyofanya kwenye kiota kipya cha Moto Lounge kilichopo Laurel
Mashabiki wakipeana Presure
Mashabiki wakiwa Moto Lounge kwenye makamuzi ya Hafsa Kazinja
Mwambata wa jeshi wa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani Brigedia Jenerali Maganga akimkabishi cheti cha shukrani kwa Hafsa Kazinja kukubali kwake kufanya show siku ya Mtanzania Ubalozi wa Tanzania Washington, DC.
Brigedia Jenerali Maganga katika picha ya pamoja na Hafsa Kazinja
Mashabiki wakipata picha ya pamoja na Hafsa Kazinja
Afisa Habari Mindi Kasiga (kati) katika picha ya pamoja na Mayor Mlima (kulia) na Raju Tambwe.
Afisa Ubalozi Suleiman Saleh (kulia katika picha ya pamoja na Hidaya Mahita (kati) na Zay B
Kwa picha zaidi bofya read more
4 comments:
inaonshe show ilifana bab kubwa lakin jamani nina kilio changu kwa nini siku zote iwe wanamuziki na wacheza cinema wetu wanakwenda d.c kufanya show najua ndo ubalozi wetu mkuu upo huko lakin its not fair at all kwani hata na sisi watanzania tuliopo NY tunataka starehe hizi zitujiye sisi infact sisi tunapiga maboxi kwa sana na hatuna starehe yeyote kama walivyo kuwa wanapewa kipaumbele wakazi wa d.c please think about it please waheshimiwa
hafsa njo basi NY tukuonyeshe jiji okay
Na kweli DC tunakula maisha,kila tunawanamziki .wapya.
wadau wa New York hamna umoja mmekalia ukabila na UBINAFSI! mlivyomfanyia LINAH haitasahaulika, jirekebisheni kwanza. sorry
Mdau wa NY ,DC kuna wa bongo wengi sana, kwa hiyo wengi wape, vilevile kumbuka Dc inaunganisha State tatu MD,DC and VA,kwa hiyo inalipa,,,njingine huwa tunajumuhika kila wakati na tunajuana wote, kwa hiyo hamia huku utajisikia kama upo bongo,
Post a Comment