|
Baadhi ya wajumbe wa NEC wakiwa ukumbini kwenye kikao cha NEC mjini Dodoma leo
|
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja
na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, kabla ya kikao cha
NEC, leo mjini Dodoma. Wengine, waliokaa. Kutoka kushoto ni Mawaziri
Wakuu wa zamani, John Malecela na Cleopa Msuya, Katibu Mkuu wa CCM,
Wilson Mukama, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Pius Msekwa, Rais wa
Zanzibar Dk. Ali Mohamed Sheni, Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi
Seif Ali Iddi na Kulia ni Mawaziri wakuu wa zamani Frederick Sumaye na
Edward Lowassa. (Picha na Bashir Nkoromo).
No comments:
Post a Comment