Hii ilinikumbusha kipindi cha drive inn Cinema kwa wale wakipindi kile maheneo ya Msasani kabla kuvunjwa na kujengwa ubalozi mpya wa Marekani. Na cinema ya bure usafiri wako tu wakukufikisha drive inn. Pita pita yangu hapa Time Square, New York nikakuta watu hawa wakiwa wamejiachia kwenye vitu kama unavyo ona tazama cinema sikutaka hata kuhuliza ilikuwa Cinema gani hadi ikawasababishia kikao hichi na kusahau kama kuna nyumbani. Sehem hii ni ya wazi na kuna viti vua kupumzika na kuenjoy mabango yanayo towa mwanga sawa na kuwa na TV nyumba. ni New York City pekee unaweza jionea mambo yao.
Uwezi kukosa kushangaa ukiwa mahenea haya kama unavyo ona jamaa wala akujari kama vijimambo inamwona na anachukuliwa ukodak kabakia kushanga Cinema ya bure.
Hapa labda alisitukia vijimambo inapata ukodak, kwa mbali watu wakifuatilia Cinema hiliyo kuwa inaonesha kwenye Mabago hayo yaliyopo ukuta wa kila kikwangua anga cha eneo hilo la Time Square NYC.
No comments:
Post a Comment