New York Tanzania Community Thanks to Tanzania Embassy Staff, Tanzania United national Friends Community Members and Friend who attended to the 22nd BBQ Event an september 22, 2012 the readership wants to thank you all of you for support. We hope you enjoyed the event.
Thank you all.
NYTC Team.
Mchoma nyoma wetu hapa New York bwana Lucas akiwaandalia kitoweowatu waliojitokeza kwenye BBQ siku hiyo
Super star wa Episode ya Grown Africa Jessica akipita mbele ya ukodak baada ya kujipatia kitoweo
Newly Vice-Chair of UN second committee MR Mero alikuwepo nae kuwa pamoja na watanzania waliojikeza siku hiyo
Hapo ukodak umekamirika Mr Mero kutoka kushoto akifuatia, Mr Abbas. MH. balozi Manongi wa hapa New York anafuatia Ustadh Mafutah na Bilal kulia wakipata ukodak wa kumbukumbu.
Wamama wakiwa tayari wamejiayarisha kupata kitoweo kilicho kuwa kinaandaliwa.
Clifford akiwa na maraki wakisubiri kitoweo kiwe tayari
Mzee Temba Engineering Company akipata picha na MH. Balozi Manongi. kwa picha zaidi bofya (read more) |
No comments:
Post a Comment