Martha Mazura (11), mshindi wa shindano la national Book Festival akipiga picha ya pamoja na baba yake mzazi, Bw. Amos M. Cherehani baada ya kupokea tuzo la uandishi bora wa insha lilioandaliwa na the Library of Congress, jijini Washington DC nchini Marekani ambapo kati ya washiriki zaidi ya mia mbili, ni washiriki 19 tu ndiyo walioshinda shindano hilo akiwemo Martha ambaye ni Mtanzania pekee kwa mwaka huu kushinda tuzo hilo.
2 comments:
WOW..!! HONGERA SANA MTOTO NA BABA !!
SAFI SANA!!!!!
Post a Comment