Ni Bilal Paul akiwa kazini, Bilal ni fundi wa umeme (Electronic Engineering) mtanzania anaefanya kazi zake na wachina hapa New York, anafanya kazi na wachina ni kwa vile anaweza kuongea lugha ya kichina kwa ufasaha kabisa. Bilal anaujuzi wa kazi hii ya umeme kwa zaidi ya miaka 20 na kazi zake ufanya na wachina na ndo maana anamudu kuongea lugha yao. Ukitaka kuwasiliana Bilal hili akufanyie wiring katika nyumba yako wasiliana na vijimambo popote ulipo.
Hapa Bilal akikunja bomba hili aweze kumalizia kazi ya kuunganisha miter za umeme katika mjengo huu.
Akiwa ameshikilia chombo maalumu cha kukunjia bomba
Bilal akiwa na mchina mbele ya ukodak wa vijimambo,
1 comment:
bro, waonyeshe watu mfano mzuri manake sie wabongo tukija huku ni tunajisahau ukishapata kazi ya boksi au kulea wazee unaridhika kujiendeleza kwetu ni tabu sio kama wenzetu wakenya. kwa kweli unanipa moyo hata mie nizidi kujiendeleza nisiendekeze umbea.
Post a Comment