Peter Milambo anasikitika kutanga kifo cha Baba yake mzazi CELESTINE PETER MASANJA kilichotokea Tanzania Terehe 10/10/2012
kwa hapa Washington DC msiba utakuwa katika anwani ifuatayo @ 2811 Ncholson st. 303,
Hyattsville, MD 20782 Ni Kawaida na desturi yetu kupeana pole katikika kipindi hiki kiugumu
kwa mawasiliano 202 520 7205 cell Peter Milambo, 240 432 7621 cell Mzee Joel Luendo 240 351 3438 - Lilian morgan
No comments:
Post a Comment