Katika mkutano huo pia kulikuwa na mashindani ya kucheza Golf yaliyoshirikishwa na washiriki mbali mbali kutoka East Africa. Mashindani hayo yaliandaliwa na AJABU LTD & FCS CONSTRUCTION Inc. Nayalifanyika Safari Golf Club, Namshindi katika mashindano hayo alikuwa John Kikonyo kutoka Kenya. Hapa mwa Kikonyo akikabiziwa zawadi na Mama wa Ajabu ltd.
Hapa mwana dada pekee nalie shiriki mashindano hayo, na shini akikabiziwa zawadi ya ushiriki
Mwana Dada Gina akipokia zawadi nae alikuja toka Kenya special kwa mkutano na kushiriki mashindani nakushiriki mchezo huo.
Bwana Ajabu LTD alikuwa licha ya kuandanaa na kusponsor mchezo huo pia alishiriki
Baada ya Mchezo kulikuwa na dina na watu walijumuhika pamoja kujipatia chakula cha jioni
Watu wakiwa katika mkao wa kula wakisubiri chakula
Meza zilikuwa zipo full kila mtu akiwa tayari kwa chakula baada ya mkutano wa siku n3 wa East Africa Chamber of Commerce Conference
Dr. Enos Bukuku nae akiwa na Mayor wa Richardison City Bwana Bob Townsend wakisubiri chakula chajioni.
watu walikuwa tayari kwa chakula na kabla ya chakula kulikuwa na show ya ngoma ya asili kutoka Rwandam sambamba na show iliyokuwa inafanywa na Asia Khamsin na Fabak Fashion.
Kikundi cha ngoma kutoka Rwanda
Kikitoa burudani ukumbini hapo kabla ya dina.
No comments:
Post a Comment