ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 12, 2012

MTANGAZAJI OTHMANI MIRAJI AAGWA RADIO YA UJERUMANI

Mtangazaji mkongwe wa Idhaa ya Kiswahili Othman Miraji (kulia) akizungumza na Mhariri Mkuu wa Idara ya Afrika ya Deutsche Welle, Ute Schaeffer (kushoto) na Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili, Andrea Schmidt. Othman Miraji ameagwa rasmi leo kufuatia kustaafu baada ya kuitumikia Idhaa hii kwa miaka 35 (Picha kwa hisani ya Sudi Mnete)

No comments: