Sarah Berhane waDMV
Sarah Berhane amefiwa na Baba yake mzazi Mzee Tekle Tamanu msiba uliotokea leo asubuhi 7 am katika hosipitali Adventist iliyopo Takoma Park, Maryland, nchini Marekani.
Kama utapata nafasi mpigie simu au fika nyumbani kwa wafiwa uwape mkono wa pole na rambirambi zako ili wafarijike katika kipindi hiki kigumu cha msiba. Habari za mazishi kufanyika wapi na lini tutawataarifu baadae kupitia vyombo vyetu vya habari hapa DMV.
Msiba upo
6700 Conway Ave,
Takoma Park, MD 20912
Kwa malezo zaidi na maelekezo piga simu
Mama Sarah 240 481 1207
Irene Milmbe 571 501 0122
Kichai 202 361 0571
Joseph Mzanila 240 388 7845
BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE
No comments:
Post a Comment