ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 12, 2012

TUMUENZI BABA WA TAIFA KWA VITENDO

Chama Cha Mapinduzi, ofisi ndogo Lumumba kimeandaa utaratibu maalum kwa Viongozi na wanachama kusaini kitabu cha kumbukumbu ya Baba wa Taifa siku ya tarehe 14 Octoba.

No comments: