ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 11, 2012

VIJIMAMBO LIVE NDANI YA EAST AFRICA CHAMBER OF COMMERCE ANNUAL TRADE CONFERENCE USA

East Africa Chamber of Commerce Confrence 2012 inayoendelea hapa Dallas, Tx Vijimambo inawaletea live. Mkutano huu unajumuisha nchi za East Africa na kila nchi imewakilishwa na kiongozi wajuu katika nchi husika. Tanzania imewakirishwa na Hon Dr. Mary Nagu, ambae ni Minister's Of Investment and Empowerment in the Prime Minister's Office. Kenya imewakilishwa na Ambassador Elkanah Odembo is Ambassador of the Republic of Kenya to the United States. Na Rwanda imewakilishwa na Amb. Engineer James Kimonyo Uganda imewakirishwa na Hon. Henry Banyenzaki The Minister Of State For Economic Motoring. Kenya Commercial Bank pia wapo na imewakilishwa na Eng. Musa Ndeto, the Chairman of the Board of Director. Na pia mktano huu umehudhuriwa na Dr Enos Bukuku, Dr Bukuku  alishawahi kuwa Deputy Governor (Economic & Financial Policies of  the Bank of Tanzania (BoT na sasa anatumikia wadhifa huu (EAC) Deputy Secretary General.  
Hapa ni Dr. Bill Atwood ( Bishop of International Diocese-ACNA akiubariki mkutano kwa kuomba
Washiriki wa mkutano huo wakiomba
Hapa ni Benedict Kazora, MSEE, MBA Chairman, East Africa Chamber of Commerce akiwatambulisha wageni waliokuwepo jioni ya opening cerenony.
Mayor  BobTownsand wa Dallas TX alikuwepo jioni hiyo na aliongea machache
Ambassador Elkand Odembo akiwatambulisha wageni na sehemu waliyotoka kuja kuhudhuria mkutano huo wa EAC hapa Dallas.
Mayor Bob Townsend wa Richardson City hapa Dallas, TX akimkabidhi Dr. Bukuku Proclamation 
Mayor na Dr.wakipata ukodak moment
Mhe. Dr. Mary Nagu akiwa anaingia ndani ua ukumbi na akipokelewa na Mayor Bob Townsend
Rais wa Dicota Dr Ndaga Mwakabuta kutoka Minnessota akipata ukodak na mwakilishi wa Balozi Maajar kutoka Ubalozi wa Tanzania,Washington DC Paul Mwafongo Economic Attache 
Dr. Bukuku, Asia Khamsin na Baba mwenye nyumba wakipata ukodak moment, Asia yupo pia hapa kufanya fashion show jumamosi usiku.




No comments: