ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 1, 2012

MSIKITI WA JIBRIL, ZANZIBAR WAKUMBWA NA WASIWASI WA BOMU
Jeshi la Polisi likielekea eneo la Mkunazini inasemekana kuna kitu kinachofanana na bomu kimeonekana karibu na Msikiti wa Jibril na sasa polisi wanaelekea kwenda kulitegua kila la kheri inshallah salama

No comments: