ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 1, 2012

Rais Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda Washiriki Mazishi ya aliyekuwa mtunza Ikulu ya Arusha (House Keeper), Lucy Samillah

Jeneza likiteremshwa kaburini
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitia saini kitabu vha maombolezo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mchanga kaburini
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiweka mchanga kaburini
Kwa picha zaidi bofya read more
Mkuu wa Mkoa wa Arusha akiweka mchanga kaburini
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akiweka mchanga kaburini
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa watoto wa marehemu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa ndugu wa marehemu
Waziri Mkuu, Mizengo PInda akitoa heshima 
za mwisho kwa aliyekuwa Mtundza Ikulu ya Arusha (hose keeper), Lucy 
Samillah katika ibada ya mazishiliyfanyika nyumbani kwa marehemu, Arsha 
Mjini Oktoba 31, 2012
Waziri Mkuu, Mizemgo Pinda akiweka mchanga
kwenye kaburi la aliyekuwa mwanagalizi wa Ikulu ya Arusha (House 
Keeper), Lucy Samilaah katika mazishi yake yaliyofanyika, Arusha Oktoba 
31, 2012
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka shada 
la maua kwenye kaburi la aliyekuwa mtunza Ikulu ya Arusha (House 
Keeper), Lucy Samillah katika Mazishi yaliyofanyika Arusha, Oktoba 
31,2012.Picha na IKULU,Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: