Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on
http://www.ktnkenya.tvZoezi la usajili wa makurutu ambao wanakusudia kujiunga na kikosi cha polisi mjini Nakuru liligeuka na kuwa vioja , baada ya mmoja wa vijana aliyeshiriki zoezi hilo kuwageukia maafisa wa polisi na kuwachapa . Haikubainika kwa nini kijana huyo kwa jina Joseph Gikonyo , aliamua kuwageukia polisi . Hata hivyo safari ya Gikonyo kutafuata nafasi katika idara ya polisi ilikomea hapo kwani alitiwa nguvuni na polisi
No comments:
Post a Comment