ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 3, 2012

OLD SCHOOL FRIDAYS AT MOTO LOUNGE




Video streaming by Ustream

2 comments:

Anonymous said...

mpwa ebu mshauri dj mwezako old skuli zimetilia kabisa bila ubishi ila jamaa yako yuko serious sana simjui jina lake,lakini ningemshauri kidogo awe ki-hip pop,dj inabidi awe loose na pia azingatie dressing code ,nasio seriouse..Ebu DJ angalia jinsi mpwa dress code yake inavyokuwa ki- Dj.umepooza sana dj ingawa miziki yako ni mizuri ,pia zingatia dressing code.
thank Mdau DMV.

Anonymous said...

sijui kama hii ni kosa kusema au lah,ila watanzania wenzangu tushirikianeni katika shughuli zetu ingawaje tunasaidiana kwa matatizo yote,ila kuna swala hili la burudani huwa hatuungani mkono kabisaa,utakuta club ya wakameruni basi wamejaa wao,utakuta ghana waooo hata wakenya pia wao wamejaa sasa sio wabongo vipi???tunalalamika pembeni miziki yetu haipigwi sehemu ya wabongo kuhang,sasas MOto launji hiyooo,ukienda patupu,wabongo wako wapi eti kwenye maclub ya waafrika wengine ambayo sitatakja majina ya kumbi hizo utakuta wabongo kibaoooooo,jamani tusapotiane,ni hilo tu,ihope sijachafua hali ya hewa ila hili jambo huwa linanikerra sana,mimi binafsi nasapoti na ninakwenda clubu zetu.Asnte.