Advertisements

Sunday, November 18, 2012

UTNC FUNDRAISING YAFANA

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania North Carolina, Geofrey Lepana akiongea machache kwenye UTNC Fundraising Dinner iliyofanyika Durham, North Carolina, nchini Marekani kwa ajili ya kuchangia Jumuiya hiyo.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania North Carolina, Geofrey Lepana akiwatamburisha viongozi wengine wa Jumuiya hiyo kwenye UTNC Fundraising Dinner iliyofanyika Jumamosi November 17, 2012 Durham, North Carolina, nchini Marekani.
Haji (kushoto) mmiliki wa Rodgers Exports na David Mushi wa mmiliki wa Geeks Plus wakiendesha bahati nasibu ambayo washindi walijipatia zawadi mbalimbali zikiwemo kusafirisha mizigo bure Tanzania kwa aliyenunua tiketi kwa Haji na David Mushi zawadi zake ni matengenezo ya komputer bure na zawadi ya Laptop windows 8.
Bahati nasibu ikiendelea huku Haji akiendelea kuzungusha kikopo ili kuchanganya tiketi.
Juu na chini ni washindi wa Bahati nasibu
 TicTocka akifanya show kwenye UTNC Fundraising Dinner
Mr. International na TicTocka wanaotokea Winston Salem North Carolina wakifanya vitu vyao
Kwa picha zaidi bofya read more


No comments: