147 Critics:John F Kitime (2)
Nawaletea muendelezo wa 147 Critics ambapo leo tunamsikiliza mdau muhimu na makini kwenye Muziki wa Dansi na kwaupande mwingine kwenye Filamu akielezea kuhusiana na marekebisho ya sheria ya ushuru wa bidhaa Sura 147yanayogusa Muziki na Filamu.Tusikilize 147 Critics:John F Kitime (2) akiwa ni mtu wa pili kuelezea maoni yake kupitia link hii:
No comments:
Post a Comment