Advertisements

Monday, December 31, 2012

DENMARK NA FAMILY AFFAIR PARTY ILIVYONOGA

Bi. Maryam na tabasamu la furaha
Bi. Ang'e nae kwa nini asitabamu ilihali kashashiba? 
Mama Terry akiwa katika nne ya nguvu
Bi. Lilian nae alikuwepo
Bi Asma a.k.a Mrs Chico nae ndani ya nyumba
Bi Sada alichangamsha kwa sana
Bi Maryam a.k.a Mrs. Nanji
                 Nisha  & Lilian                                                                 Nisha & Lilian

Kula bure, kunywa bure na 50 yenye picha ya Queen juu!

Juu na chini ni mahanjumati
Party ilifanyika usiku wa kuamkia jumamosi katikati ya jiji la Copenhagen Nchini Denmark, kwa ajili ya kusherehekea miaka mitano ya kuanzishwa kwa chama cha East-african Society nchini Denmark. 
Kwa picha zaidi bofya read more
Hakuna michuzi ya kuchafua nguo.
 Wadau wakijiseviaa msosi

Juu na chini ilikuwa Cheerssssss....time
  Cheerssssss....
Bodyguards wakipata misosi




 Mduara bila kanga? haiwezekanikiii






 

Wakiwa wenye furaha wakiondoka kurudi makwaoo 

No comments: