Tuesday, December 4, 2012

MISSY TEMEKE KUFANYA VITU VYAKE MJINI OAKLAND - CALIFORNIA

3 comments:

Anonymous said...

Hongera sana mrembo kazi hatuwa napenda nikupongeze na kuwa kumbusha wenzako wafanye kazi waache majungu na matusi na kupoteza mda kwenye. Mitandao .umri wao wautambuwe kwani tumekuja kutafuta sio majungu nimependa sana unavyojitahidi mrs matope upo juu

Anonymous said...

kweli kabisa naunga mkono Anonymous number 1 tuko mbali mshikamano ni muhimu sana hongera sana MS T, mungu akujalie na ubunifu wako wa mitindo tuko pamoja nawe ....

Anonymous said...

Ukisikia chuma cha pua ndio hiki,unastahilika hongera kubwa sana kwani umeonyesha jinsi gani ilivyokuwa na msimamo wa maendeleo.