Sunday, September 22, 2024

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI NCHINI MAREKANI


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania Mjini New York, nchini Marekani na Mwakilishi wa Kudumu katika Umoja wa Mataifa, Balozi Hussein Othman Katanga alipowasili nchini humo kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79). (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments: