Saturday, December 29, 2012

STEPHANO NA ACHOTTO WAMEREMETA

Harusi ya Stephano na Achotto iliyofanyika Jumamosi December 29, 2012 katika kanisa la Mtakatifu Alban, Dar Es Salaam, Tanzanaia na baadae sherehe za harusi zilifanyikia Picolo Club, Mbezi Beach.
Bwana na Bi harusi wakiwa na wapambe wao
Stephano na Achotto wakimeremeta
Le Mutuz Willy Malecela katika picha ya pamoja na Bwana na Bi  Harusi la Steve na Achotto kwenye shsrehe ya harusi yao Picolo Club, Mbezi Beach.
Bwana na Bi harusi katika picha ya pamoja
Le Mutuz katika picha na  Bwana na Bibi Harusi, Mr. & Mrs.Mhina kwenye sherehe ya harusi yao iliyofanyika Picolo Club, Mbezi Beach, sherehe hizi zilitumbuizwa na kikundi cha muziki cha Skylight Band.
Bwana na Bi harusi

Chitumbi na mdhamini wa pendo lake Bi Lulu
Le Mutuzat akipata ukodak moment kwenye Red Carpet na Amina (kushoto) kutoka DC Washington, Loveness Mamuya mwenyekiti CCM DMV (wapili toka kushoto) na Furaha nae kutoka Washington, DC kwenye sherehe ya harusi ya Stephano na Achotto iliyofanyikia Picolo Club, Mbezi Beach.
kutoka kushoto ni Furaha, Carlos, Le Mutuz na Frank Mhina
kwa picha zaidi bofya read more

kutoka kushoto ni Bwana harusi, Amina, Loveness Le Mutuz na Furaha

Le Mutuz katika picha ya pamoja na Amina

Le Mutuz katika picha ya pamoja na Furaha
Picha kwa hisani ya Le Mutuz Blog

No comments: