Saturday, December 29, 2012

Yanga kabla ya kuanza safari ya Uturuki

Kocha Mkuu Ernest Brandts akiwa na mjumbe wa kamatai ya utendaji ambaye pia ni mkuu wa msafara Mohamed Nyenge  in Dar es Salam, Dar es Salaam.
Ladislaus Mbogo akiwa na Nadir Haroub Canavaro Uwanja wa Ndege JK Nyerere — in Dar es Salam, Dar es Salaam.
Nizar Khalfani akiwa uwanja wa ndege in Dar es Salam, Dar es Salaam.
wakijipanga kuelea chakula kilipo na baaa ya kula walielekea air port kwa safari ya Uturuki
wachezaji wakisubirai muda wa ukaguzi  in Dar es Salam, Dar es Salaam.
wachezajin wa Yanga wakiwa airport tayari kwa safari
Wachezaji wakijisevia chakula
Mbuyu Twete akiwa ameshika chakula

1 comment:

Anonymous said...

wataenda kupigwa na baridi tu huu sio wakati mzuri wa kusafiri bora wangekwenda South Africa.