ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 16, 2013

MAISHA YA DIAMOND KATIKATI YA WIKI

Hata ukiwa msafi kiasi gani na kupendeza juu lakini ukatembelea Gari chafu
ni sawa na kazi bure... Diamond huwa anazingatia sana usafi wa Gari yake na moja ya ..
ya mizunguko yake kwa siku ya jana alianzia pale Texas Car Wash...
Hapa Diamond akiwa na Evance wa Texas Car Wash akimpa yaliyojiri mjini...
Diamond akiwa na Da Halima pembeni 
Prado yake imepona jamani hataki maswali...
Diamond akiwa na wakali wake waliyosababisha Prado yake kung`aaaaaaa
Diamond akiwa na Mnyama Joff...
Picha kwa hisani ya blog yake

No comments: