Tuesday, March 26, 2013

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

Kijiwe 14 from Luke Joe on Vimeo.

16 comments:

Anonymous said...

I would like to see one episode ambayo Benja hatokuwepo, kwani anakua destruction kubwa sometimes katika hichi kipindi, watu wengine wanataka kuongea point zao lakini jamaa ana interrupt all the time. wape watu wengine chance ya kuongea na wao.

just kupunguza pumba for 1 episode.

Anonymous said...

Hahahahahaha nimecheka Leo mpk basi
Nimeipenda hii at least mmebadilisha mada kidogo imevutia

Anonymous said...

hahahahaha...hakuna kitu kitamu kama ugali na mlenda. ila wanaume wa kibongo nao tunapenda mtelemko, mwenzio akikorofisha ugali na mlenda wewe pitia walau juisi siyo unakuja empty handed haipendezi

KHAMSIN said...

TAFADHALI SANA CHUNGA MUDA WAKO NA UMUHIM WAKO KWA JAMII VIJIMAMBO IMEKUA JUU KWA MUDA MFUPI SANA MATAYARISHO MAZURI SANA LAKINI LAZIMA PANGA WATU WAONGEE KWA MIPANGILIO SIO MTU ANAKURUPUKA TU HATA MWINGINE HAJA MALIZA PONTI YAKE NA KELELE NYINGI SIO KUELEWEKA KUTAFUTA UMA ARUFU KIJIWE KIZURI KINA LETA MAFUNZO KWA WENGINE AMABAADU WATU WOTE POA KWANI KILA MMOJA NA MTAZAMO WAKE BIG UP KWA NYOTE WA KIJIWE HUYO JAMAA WA KUPONDA ASIWACHWE KAMA MDAU WA KWANZA ALIVYO ANDIKA MTU MUHIMU SANA HUYO KWANI KUPONDA NZURI SANA ILA WAPANGIE MUDA WA KUONGEA KWA ZAMU BIG UP

Anonymous said...

Hahahahahahahahaha aisee hichi kipindi mi nachukulia ni entertainment flani hivi na bila ya Benja hichi kipindi hakiwezi kunoga kwa kweli yaaani nimecheka hadi basi....good work guys yaani nimetoroka kazini kuangalia hichi kipindi hahahahahahahaaaa

port sudan said...

safi sana kijiwe kila week kinakua benja safi sana wote hapo kazeni buti kitaeleweka tu

Anonymous said...

ndaga fijo Benja baba si utaumwa kichwa jamani?

Anonymous said...

Hahahaha topic ya leo kali sana nimeipenda, hawa kina kaka wanachekesha sana, huyo kaka wa kati anatoa point nzuri sana

Anonymous said...

Mwenyekiti Benja unaongea maneno ya ukweli lakini punguza gazabu na makelele utawaamsha majirani au watafikiri kuna ugomvi wasije wakawaitia police ok. Thanks for understanding and good job guys. Unatuelimisha.

Anonymous said...

Benja kumbe anaserengeti girl pempeni? Inakuaje lakini kila siku anituponza sisi kina dada wa kibongo, sio unafiki huo? Halafu nani kasema tunaowa au kuolewa kwa jili ya makaratasi tu. Guys this is 2013! Alot of us are very well educated and don't need any man to get papers. This show is just pure entertainment wala haielimishi mtu yoyote tofaute na alivyosema anon above. Makelele tu, agenda yenye mazungumzo bila mpango wala haipendenzi!

Anonymous said...

poa benja hizo pck hatuzifahamu unaongea kweli.

Anonymous said...

Nimependa dotto anavyoongea hapayuki amejitahidi kwa kweli home is the best next tym muwe mna halika Watu Kama haw a wanaleta mvuto big up dotto

Anonymous said...

nyie mnaosema kuwe na mpangilio wa kuongea, mmeshaambiwa hicho ni kijiwe na watu wapo kijiweni. sasa toka lini kijiweni watu wakaongea kwa zamu? this is exactly how kijiwe is suppose to be, so kama mnataka mpangilio wa kuongea may be yall wanna tune in CNN

Anonymous said...

ILA AKINA KAKA WA KIBONGO UGHAIBUNI NI NOMA. mie binafsi sitaki kusikia habari za hawa wakaka, niko na mpopo wangu going 10 years hakuna kuremba wala nini they are less stressful. kwanza mpopo hawezi kuja kwako mikono mitupu, mbongo atakuja kula kila siku tena ana-order kabisa mamii leo nitengenezee firigisi bila hata siku moja kuacha hela ya groceries. ukiwa na mwanaume wa kibongo jua maendeleo yako yatarudi nyuma kwa kasi! WAPOPO OYEEE!

Anonymous said...

Kweli hicho kijiwe Big up!Bila huyo Benja hamna kijiwe tena maneno yote ya mjini nyumbani kwake.Anafurahisha Ahsante vijimambo

Anonymous said...

Huyu Benja bana anaongea mno. Sauti kuuuubwa mpaka anawapa watu palpitation. Kwani kutoa point ni lazima kupayuka jamani? Napenda kuwatch kijiwe. Benja tuliza bolli kidogo.