ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 22, 2013

TCRA yatakiwa kurekebisha changamoto za dijitali

Mamlaka ya udhibiti wa mawasiliano nchini -TCRA imetakiwa kurekebisha changamoto zote zinazotokana na mchakato wa uhamaji kutoka analojia kwenda dijitali ili kuboresha huduma ya upatikanaji wa habari pamoja na kuondoa usumbufu na malalamiko kutoka kwa wananchi.

No comments: