ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 15, 2013

KILIMANJARO PASSION JUMAPILI APRIL 14, 2013 DMV

 Wadau kutoka North Carolina wakiangalia menyu tayari kuagiza kwenye mgahawa wa Kilimanjaro uliopo Wheaton kama walivyokutwa na kamera ya Vijimambo.
 Sam Mkande akiwa na mwanae kwenye mgahawa wa Kilimamjaro wakiendelea na menyu.
 Sam Mkande (kulia) katika picha na Feisal Njenje (mtoto wa Babu Njenje) kwenye mgahawa wa Kilimanjaro
 Feisal Njenje kutoka North Carolina akiendelea na menyu.
Dj Mudy (shoto) pamoja na Dj Dave nao walikutwa na kamera ya Vijimambo kwenye mgahawa wa Kilimanjaro.

No comments: