Bwn. Kenyatta akiwa watoto kwenye sherehe yao na Juliana iliyofanyika Days Inn Springfield, Massachusetts April 6, 2013 ya kusherehekea Harusi yao iliyofanyika Marykand Ijumaa ya March 1, 2013 na kufanyika sherehe yao ya kwanza usiku huo wa March 1, 2013 College Park, Maryland.
Ndugu, jamaa na marafiki waliojumuika pamoja kweye sherehe hiyo.
Mkuu wa wilaya ya Springfield, Isaac Kibodya (wapili toka kushoto) katika picha ya pamoja na wageni waalikwa.
Mkuu wa wilaya akiwa na mama mwenye nyumba wake (gauni nyeusi) pamoja na ngungu, jamaa na marafiki waliojumuika pamoja na Kenyatta na Juliana.
Wageni waalikwa wakila rhumba
Hapa wakiduarika
Wakiburudika na ngoma ya kiruguru
mduara ukiendelea
Wageni waalikwa katika pivhaya pamoja (picha kwa hisani ya mkuu wa Wilaya)
2 comments:
watu wa springfield good job, endeleeni na huo ushirikiano wenu na kamwe msiruhusu ma-group yenye kuleta utenganishi kama wenzetu wa mkoa fulani.
Si useme tu ni DC??? Huna haja ya kuficha kila Mtu analijua hilo wanamagurupu inasikitisha na inatia aibu upendo wao wa zamani Kama miaka 10 iliyopita umetoweka.
Post a Comment