ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 23, 2013

sherehe ya muungano, seattle, WA


KWA NIABA YA UONGOZI MZIMA WA TANZASEATTLE....MIE KAMA MAYOR WENU(A.DOLA)PUBLIC RELATIONS OFFICER NNAWAKARIBISHENI WATANZANIA WOTE NA WAMAAJIMBO JIRANI KUUSHEREKEA SHEREHE YETU YA MUUNGANO TAREHE 27TH APRIL KAMA FLYER INAVYOSEMA,PIA TUTAKUA NA MAMA MITINDO BI..ASIA IDAROUS WA KHAMSIN FROM TANZANIA,HII ITAKUA SHOW KABAMBE ACCORDING TO HER WITH HER NEW/LATEST OUTFITS IN THE WORLD THAT YOU CAN THINK ABOUT PIA CHECK HER ONLINE(ASIA IDAROUS OR FABAK FASHIONS)ALSO CHECK US TANZASEATTLE.ORG.........PIA KUTAKUA NA BITES/SODA & MAJI  BUUURE NNARUDIA BUUURE......KAMA VILE CHAPATI,VITUMBUA,MAANDAZI,KUKU(FRIED/GRILLED)KABABU,SALAD,POTATOE JOJO'S(FRIED/GRILLED)PILIPILI YA EMBE MBICHI.........JST TO MENTION A FEW SASA KAZI KWENU.KWA KUPATA TIKETI YAKO MAPEMA WASILIANA NA MIMI MWENYEWE CELL FOR MORE INFO.............206 422 3050........PIA CHAIRMAN:NDUGU YONA...425 590 9292,KATIBU MKUU:NDUGU MAPANA...206 890 4465,MWEKA HAZINA NDUGU JIMMY MKUDE...aka,KATIBU MSAIDIZI NDUGU FATMA AL TAMIM...206206 225 7534.............TICKETS ADULTS...WAKUBWA...$1O,WATOTO FROM 6YEARS..$5.........MNNAKARIBISHWA SANA NA ASANTENI WOTE ALL THE BEST...........

No comments: