Ubao wa Matokeo uonekanavyo baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara,kati ya Simba na Azam zote za jijini Dar.
Mshambuliaji wa Simba,Ramadhan Singano “Messi” (kulia) akiondoka na mpira kuelekea langoni mwa timu ya Azam wakati wa mchezo wa Ligi kuu ya Vodacom,uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na kufanya matokeo ya mchezo huo kuwa Simba 2 – 2 Azam.
Mchezaji wa Simba,Mwinyi Kazimoto akionyesha machachari yake uwanjani.
Kwa picha zaidi bofya read more
Mrisho Ngassa akiachia shuti kaliiiiii…
Hatari langoni mwa Azam lakini anadaka vizuri Golikipa Mwadin Ally.
No comments:
Post a Comment