NI MSANII ALIYETOKEA KWENYE MASHINDANO YA KUSAKA VIPAJI SUPER NYOTA MWAKA JANA NA KUBAHATIKA KUWA MSHINDI WA PILI KATIKA FAINALI HIZO AMBAZO ZILIFANYIKA CLUB SUNCIRO JIJINI DAR ES SALAAM ILA YEYE NI MWENYEJI WA MKOANI MOROGORO AMEACHIA WIMBO WAKE MPYA AMBAYO UNAKUJA KWA KASI KATIKA ANGA YA MUZIKI SASA UKIENDA KWA JINA LA NAKUNYOA KIPARA HEBU USIKILIZE HAPO CHINI NA UTAKUBALIANA NA MIMI
No comments:
Post a Comment