Thursday, May 16, 2013

CHELSEA FC MABINGWA EUROPA


Timu ya Chelsea FC ya Uingereza katika picha ya pamoja baada ya kutwaa ubingwa wa Europa kwa kuibamiza Benfica ya Ureno kwa bao 2-1 fainali iliyofanyikia Uwanja wa Ajax Amstadam, Uholanzi Jumatano May 15, 2013
Timu ya Chelsea FC wakishangilia baada ya kukabidhiwa kombe la ubingwa wa Europa
Nahodha wa timu ya Chelsea FC Frank Lampard akilinyanyua juu kombe kushangilia pamoja mashabiki wake waliokua roho juu muda wote wa mchezo huku wakiwaacha wachezaji na mashabiki wa Benfica wakibubujikwa na machozi
Timu Kepten Frank Lampard akipiga uyowe na wachezaji wenzake baada ya kukbidhiwa kombe
Branislav Ivanovic mfungaji wa goli la pili lililoipatia Chelsea ubingwa wa Europa akipata ukodak moment na kombe hilo
Kocha wa Chelsea FC rafa benitez akipata picha na Kombe la ubingwa wa Europa
Wachezaji wa Chelsea wakishangilia ushindi

No comments: