Thursday, May 16, 2013

EAST AFRICA YATOA TENA WAWAKILISHI KWENYE BET AWARDS 2013

Bila shaka dunia imeanza kutambua ni nini east africa wanafanya on music,iko hivi baada ya Camp mullah kuwania tuzo za BET msimu uliopita,sasa ni zamu ya Uganda baada ya kundi machachari la nchini humo "Good life"linaloundwa na radio&Weasel kutajwa kuwania tuzo hizo kubwa duniani upande wa Best international act:Africa ambapo watakuwa wakichuana na 2Face Idibia (Nigeria)
Toya Delazy (South Africa)
Donald (South Africa)
Ice Prince (Nigeria)
R2Bees (Ghana)
hiki ni kiashirio kizuri na wanamuziki wetu wanalo la kujifunza toka kwao,who knows pengine next time ikawa zamu…

No comments: