Thursday, May 16, 2013

BAADA YA UK TOUR&CONGO DIAMOND YUKO STUDIO AKIANDAA TRUCK MPYA

Diamond ni hard worker&hard working siku zote hulipa,Baada ya ziara ya UK then Congo&Burundi amerudi leo siku ya jumatano and TEENTZ imeongea nae usiku huu na kusema yuko studio akipika mzigo mwingine mpya ,kumbuka kwa mwaka huu kesha achia single mbili zinazofanya vizuri Ukimwona&mapenzi basi.

2 comments:

Anonymous said...

Akiandaa TRACK mpya.

Anonymous said...

weee mdau wa mwanzo acha ushamba wako bwana kukosoe spelling za hapa na pale kwani unadhaini aliyeposti hii kitu mjinga hajakwenda shule acha zako ndo maana hatuendelei wabongo kukaa na kujifanya wajanja tuliosoma na kujua mambo sana kumbe pumba tu huwezi kujuwa labda key board ilikwama labda mtu alikuwa na speed wakati wa kuweka hii kitu upesi upesi kumkosoa basi hata kwa kistarabu hujui kumkosoa mtu

acha zako weee mdau wa mwanzo usijifanya mjuzi sana wa kiingereza wakati si muingereza wewe


mdau NORWAY