Urban Pulse Inakuletea video fupi kutoka nje wa uwanja wa Rugby Twickenham London tarehe 11.5.2013 wakati wa mpambano wa Rugby ukiendelea ambapo wadau kibao walijiachia ipasavyo na bendi ya Love Train ilipokua ikitumbuiza.Asanteni,
Urban Pulse Creative
No comments:
Post a Comment