ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 12, 2013

WATANZANIA WATUNUKIWA SHAHADA ZA UZAMILI

Watanzania , Mchungaji Emmanuel Masanja Mbaaga (M.A) na Milcah Thomas (M.A) na Pastor Charles Koomson (M.A) kutoka Ghana wakijiandaa kupokea shahada za uzamili katika Chuo Kikuu cha Liberty, Lynchburg, Virginia nchini Marekani katika mahafali yaliyofanyika jana Jumamosi, May 11, 2013. Chini ni Mchungaji Mbaaga na Pastor Koomson katika picha pamoja na rafiki yao wa karibu Ndugu Mark Scott baada ya kupokea shada zao
Wakiwa na nyuso za furaha ni Watanzania Pastor Emmanue Masanja Mbaaga (Kulia), Milcah Thomas (kati) na Mghana Pastor Charles Koomson (Kushoto) ambao wahitimu wa shahada ya uzamili wakipiga picha ya pamoja kabla ya kupokea shahada zao jana, Jumamosi, May 11, 2013, katika chuo kikuu cha Liberty, Lynchburg, Virgia nchini Marekani

No comments: