ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 17, 2013

TANZANIA PALACE SAVE ENERGY YAKO KWA MEMORIAL WEEKND KUTAKUWA HAPATOSHI JUMAMOSI MAY 25 KARIBUNI WOTE

Dj Bilal kiwa kazini akiwajibika vilivyo ndani ya ukumbi huu karibu tena jumamosi hii, vinywaji vinapatika chakula kama kawaida. Bongo Flava Mayenu,  na rusha roho hapa ndiyo mahala pake.
Tujirushee kama hivi warembo wakijibeba kwenye floor na wewe njoo utaipenda tu sehemu hii kwani kunanafasi yakutosha na safi.

1 comment:

Anonymous said...

JAMA DJ BILAL ANAZIDI KUZEEKA SIYE NILIYEAKUWA NAMJUA KILA NIKIANGALI PICHA ZAKE NAONA UMRI UNAMPELEKA NJOO BONGO BABA UTASTAREHE HUKU MAJUU NUKSI