ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 17, 2013

TANGAZO LA AJIRA KATIKA NCHI ZA AFRIKA KWA WATANZANIA WALIOPO UINGEREZA NA MAJIRANI .


CHAMA CHA MAPINDUZI.
TAWI LA UNITED KINGDOM.
Website: www.ccmuk.org

TANGAZO LA AJIRA KATIKA NCHI ZA AFRIKA KWA WATANZANIA WALIOPO UINGEREZA NA MAJIRANI .

CAREERS IN AFRICA INAWATANGAZIA WALE WOTE WENYE SHAUKU YA KUTAFUTA KAZI BARA LA AFRIKA KUHUDHURIA KONGAMANO KUBWA LA KAZI LITAKALOFANYIKA JIJI LA LONDON KUANZIA TAREHE 17 MPAKA 19 MEI , 2013.
CCM UK -TUNAOMBA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE, BILA YA KUJALI ITIKADI ZAO ZA KISIASA, KUJIANDIKISHA NA KUHUDHURIA KWA WINGI KONGAMANO HILI KWA KUJITAFUTIA AJIRA, AMA HATA KUJIFUNZA MENGI MAZURI YATAKAYOJIRI.

KWA MAELEZO ZAIDI NA JINSI YA KUJIANDIKISHA TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI YA:www.careersinafrica.com

KUTAKUWA NA MAKAMPUNI ZAIDI YA 100, NA BAADHI MI KAMA YAFUATAYO:-.


NAWATAKIA KILA LA KHERI .
MARIAM MUNGULA
KATIBU –CCM –UK

No comments: